Jifunze Kustawisha Michikichi

Jifunze Kustawisha Michikichi

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2010

Hapa nchini aina nyingi za mafuta ya kula yanayotumika
hutokana na:
(a) Mbegu za mafuta, kama vile karanga, alizeti, pamba n.k.
Mafuta hupatikana baada ya kusindika mbegu.
(b) Minazi. Mafuta hupatikana baada ya kusindika mbata.
(c) Michikichi. Mafuta hupatikana baada ya kusindika matunda
na mbegu.
Mafuta hutumika kama kiungo muhimu katika mapishi
mbalimbali kwani huongeza ladha ya chakula. Mafuta pia ni
muhimu kwa afya, huongeza joto na nguvu mwilini.

Pay with DPO

dpo
Book Title Jifunze Kustawisha Michikichi
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978 9987 07 028 7
Edition Language Kiswahili
Date Published 2010-06-23
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 38
Chapters 5

Related Books

Banana and their Management
Banana and their Management
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs3,000.00 Tzs3,500.00
View
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs3,000.00 Tzs3,500.00
View