Jifunze Kustawisha Karanga

Jifunze Kustawisha Karanga

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2009

Kitabu hiki kinahusu Kanuni hizo na lengo lake ni
kuwawezesha wakulima nchini wakisome na wazijue ili
waweze kuongeza mavuno kwa eneo la ardhi iliyopandwa.
Kwa upande mwingine, hapa nchini, karanga hustawishwa
zaidi katika Kanda za Kusini (mikoa ya Lindi, Mtwara
na Ruvuma), Mashariki (mikoa ya Morogoro, Pwani
na Tanga) Kati (mikoa ya Dodoma, Singida,Tabora na
Kigoma) na Ziwa (mikoa ya Mara, Mwanza, Shinyanga na
Kagera). Iko mikoa mingine inayozalisha zao hili japo ni kwa
kiasi kidogo.
Kwa kutegemea misimu ya mvua, kilimo cha zao hili
kimegawanyika katika kanda mbili:

Pay with DPO

dpo
Book Title Jifunze Kustawisha Karanga
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978 9987 07 027 5
Edition Language Kiswahili
Date Published 2010-05-30
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 48
Chapters 8

Related Books

Banana and their Management
Banana and their Management
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View