HISTORIA YA KILIMO TANZANIA
-
AuthorPius B. Ngeze
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2015
“Kwa kuwa uchumi wa Tanzania unategemea na utaendelea kutegemea
kilimo na mifugo, Watanzania wanaweza kuyaendesha maisha yao barabara
bila ya kutegemea misaada kutoka nje kwa matumizi bora ya ardhi.
Ardhi ni ufunguo wa maisha ya binadamu, kwa hiyo, Watanzania wote
waitumie ardhi kama raslimali yao kwa maendeleo yao ya baadaye. Kwa
kuwa ardhi inatumiwa kwa faida ya taifa zima, isitumiwe kwa faida ya mtu
binafsi au kwa watu wachache tu.”
Pay with DPO