DAWA ZA KULEVYA NA ATHARI  ZAKE KWA AFYA YA BINADAMU

DAWA ZA KULEVYA NA ATHARI ZAKE KWA AFYA YA BINADAMU

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2026

Kitabu hiki ni mwongozo wa kina unaochambua tatizo la dawa za kulevya kuanzia chanzo chake, aina zake, njia za matumizi hadi athari zake kwa afya ya mwili na akili, familia, jamii na uchumi. Kitabu kinaeleza jinsi uraibu unavyoanza,  unavyoathiri ubongo na tabia ya binadamu, pamoja na unavyoweza kuzuilika na kutibika. Pia kinaonesha nafasi ya familia, shule, jamii, serikali na mashirika mbalimbali katika kupambana na janga hili.

Kitabu hiki ni muhimu kwa wanafunzi, wazazi, walimu, wataalamu wa afya, watunga sera na jamii kwa ujumla katika kuelewa na kupambana na changamoto hii. Aidha, kinachotoa elimu, uhamasishaji na mabadiliko ya kijamii kinacholenga kulinda afya ya binadamu na kujenga jamii yenye maadili, usalama na maendeleo endelevu.

Pay with DPO

dpo
Book Title DAWA ZA KULEVYA NA ATHARI ZAKE KWA AFYA YA BINADAMU
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978-9912-767-87-4
Edition Language Kiswahili
Date Published 2026-10-28
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 70
Chapters 19

Related Books

KANUNI ZA MWANZO 13 ZA KUMJENGEA MWANADAMU AFYA NZURI MAISHANI
KANUNI ZA MWANZO 13 ZA KUMJENGEA MWANADAMU AFYA NZURI MAISHANI
  • HEALTH & LONG LIFE (AFYA NA MAISHA MAREFU)
Tzs4,000.00 Tzs6,000.00
View
TOKOMEZA MALARIA
TOKOMEZA MALARIA
  • HEALTH & LONG LIFE (AFYA NA MAISHA MAREFU)
Tzs4,000.00 Tzs6,000.00
View