TEHAMA kwa Shule za Msingi
-
AuthorElias Zachariah Maguttah
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2007
Dunia katika karne ya ishirini na moja (21) imeshuhudia mabadiliko makubwa sana katika nyanja mbalimbali kama vile: elimu, teknolojia, siasa na uchumi. Nchi nyingi hasa zinazoendelea, zimekuwa zikijaribu kutafuta ni kwa namna gani zinaweza kukabiliana na hali hiyo. Mojawapo ya jitihada hizo ni kuangalia mifumo ya elimu ili kuweza kubaini mianya iliyopo ambayo inaweza kurekebishwa zaidi, ili kuziwezesha kutoa elimu inayoendana na mabadiliko haya kwa wananchi wake.
Pay with DPO