Usalama Barabarani Jukumu Letu

Usalama Barabarani Jukumu Letu

4.0
  • AuthorJohansen Luhahas
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2003

Mimi ni dereva wa miaka mingi. Kwa sababu hiyo ninao uzoefu wa kazi hii. Ninajua raha na karaha za matumizi ya barabara ambayo nimekuwa nikikutana nayo au kuzishuhudia kwa macho yangu. Kwa upande mwingine, katika kipindi cha miaka kadhaa iliyopita, tumekuwa tukishuhudia matukio mbalim-bali ya ajali ambazo zimesababisha vifo vya kutisha. Hivi sasa hakuna taifa ulimwenguni ambalo limenusurika na kero hii. Inakadiriwa kuwa mamilioni ya watu hupoteza maisha yao kila mwaka. Kwa mujibu wa takwimu zilizopo hadi hivi sasa nchini Tanzania, wastani wa watu mia mbili hufa kila mwezi, wakati watu wapatao thelathini hadi hamsini hupoteza maisha yao kila wiki kutokana na ajali za barabarani zinazosababishwa na watu wasiojua au wasiofuata vyema sheria na kanuni za Usalama Barabarani.

Pay with DPO

dpo
Book Title Usalama Barabarani Jukumu Letu
Author Johansen Luhahas
ISBN 978 9987 671 63 2
Edition Language KISWAHILI
Date Published 2003-10-15
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 94
Chapters 14

Related Books

Haki za Madereva, Abiria na Polisi Barabarani
Haki za Madereva, Abiria na Polisi Barabarani
  • USALAMA BARABARANI (SAFETY ON ROADS)
Tzs3,000.00 Tzs3,500.00
View