Tokomeza UKIMWI

Tokomeza UKIMWI

4.0
  • AuthorElvis Bakondo
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2011

Tangu ugonjwa wa UKIMWI uingie nchini Tanzania mwaka
1983, bado kiwango cha maambukizi ya virusi vya UKIMWI
nchini ni kikubwa. Tunahitaji kuweka mikakati madhubuti ya
kuuzuia. Silaha kubwa katika kuzuia kuenea kwa UKIMWI ni
kushirikisha kila mdau kwa njia ya elimu, habari na
mawasiliano ili kuushinda. Maelezo yaliyomo katika kitabu
hiki ni jitihada za kuendelea kuelimisha jamii na kujenga
mawasiliano ya karibu kati ya wadau mbalimbali na jamii ili
kuwaunganisha pamoja kwa lengo la kuutokomeza UKIMWI
unaoua maelfu ya watu humu nchini na kwingineko duniani.

Pay with DPO

dpo
Book Title Tokomeza UKIMWI
Author Elvis Bakondo
ISBN 978 9987 671 96 0
Edition Language
Date Published 2011-12-01
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 91
Chapters 7

Related Books

The Village Between Lives
The Village Between Lives
  • UHAI BAADA YA KIFO(LIFE AFTER DEATH)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View