MIGOGORO YA NDOA NA USULUHISHI WAKE

MIGOGORO YA NDOA NA USULUHISHI WAKE

4.0
  • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2018

Kutokana na utafiti uliofanywa na kuandaliwa mwaka 2017 na Profesa
Cyriacus Binamungu, Mkuu wa Kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu cha
Mzumbe, Tanzania, imeonekana kuwa wadau wa Bodi ya Usuluhishi
wa Ndoa hawaielewi ipasavyo. Wadau hao wanahusisha Mawakili,
Mahakimu na Wajumbe wa Bodi zenyewe.
Kwa hali hiyo, Bodi imeonekana kama inayoleta kero kwa wadau hasa
mahakama za rufaa, kama vile, Mahakama ya Wilaya, Mahakama
Kuu na Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
zinapogundua kuwa utaratibu wa kuwasilisha shahada inayotolewa na
Bodi haukuwa sahihi, hivyo, kuondoa shauri mahakamani.

Pay with DPO

dpo
Book Title MIGOGORO YA NDOA NA USULUHISHI WAKE
Author Al-Muswadiku K. Chamani
ISBN 978 9987 07 093 0
Edition Language Kiswahili
Date Published 2019-07-10
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 68
Chapters 7

Related Books

The 10 Keys on How to Make Your Marriage Work
The 10 Keys on How to Make Your Marriage Work
  • UPENDO NA NDOA (Love & Marriage)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View
The Aisle: The Story of How I Met My Wife
The Aisle: The Story of How I Met My Wife
  • UPENDO NA NDOA (Love & Marriage)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View