Majukumu ya Viongozi wa Kitongoji, Mtaa, Kijiji na Kata

Majukumu ya Viongozi wa Kitongoji, Mtaa, Kijiji na Kata

4.0
  • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2015

Mwandishi wa kitabu hiki, Al-Muswadiku K. Chamani alikuwa mwanafunzi mwenzangu katika Shule ya Sekondari Nyakato, Wilaya ya Bukoba, Mkoa wa Kagera. Baada ya hapo alijiunga na kozi ya ualimu na akafundisha shule kadhaa za msingi. Tulikutana tena Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam sote tukiwa tunachukua shahada ya kwanza ya Elimu (ualimu). Baada ya masomo yote hayo, yeye alipangwa kufundisha katika vyuo vya maendeleo ya wananchi na akawa Mkuu wa Chuo, mimi nikaenda kufundisha shule za sekondari na hatimaye kuwa Mkuu wa Shule. Kutokana na bidii na juhudi yake ya kujiendeleza kimaarifa na kijamii alisoma tena masuala ya sheria na kufanikiwa kupata stashahada na shahada ya sheria na leo hii ni Wakili mwandamizi anayetegemewa na kuaminiwa sana na wapenda haki.

Pay with DPO

dpo
Book Title Majukumu ya Viongozi wa Kitongoji, Mtaa, Kijiji na Kata
Author Al-Muswadiku K. Chamani
ISBN 978 9987 426 23 2
Edition Language KISWAHILI
Date Published 2015-07-15
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 105
Chapters 8

Related Books

SILAHA 100 ZA KIONGOZI
SILAHA 100 ZA KIONGOZI
  • UONGOZI NA UTAWALA (LEADERSHIP & ADMINISTRATION)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View
Kudos President  Magufuli
Kudos President Magufuli
  • UONGOZI NA UTAWALA (LEADERSHIP & ADMINISTRATION)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View