Jizatiti Mitihani ya Hisabati Darasa la Nne

Jizatiti Mitihani ya Hisabati Darasa la Nne

4.0
  • AuthorMartiale K. Mbehoma na Dawson D. Mwesigwa
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2021

Utunzi wa kitabu umezingatia mada zote zinazotakiwa kufundishwa mwanafunzi wa Darasa la Kwanza hadi la Nne. Mada hizo zimechambuliwa kwa undani na kwa makini sana.
Lengo la kitabu hiki ni kumjengea mwanafunzi msingi wa Hisabati tangu madarasa ya chini, ili kumwezesha kushinda vizuri mitihani ya kuhitimu Darasa la Nne na kumjengea mazaoe ya udadisi na kujiamini katika kukotoa maswali ya Hisabati.
Kitabu hiki kimetengwa katika sura tatu zifuatazo:
Sura ya Kwanza: Maswali 756 na jinsi ya kuyakokotoa.
Sura ya Pili: Majaribio 10, kila moja likiwa na maswali 25. Jumla ya maswali yote ni 250. Maswali haya yametungwa katika mfumo wa kumwezesha mwanafunzi kushinda mitihani.
Sura ya Tatu: Majibu ya maswali yaliyo katika Majaribio yote 10.

Kitabu hiki kimepata Ithibati ya Taasisi ya Elimu kitumike kama kitabu cha ziada katika Shule za Msingi nchini Tanzania.

Pay with DPO

dpo
Book Title Jizatiti Mitihani ya Hisabati Darasa la Nne
Author Martiale K. Mbehoma na Dawson D. Mwesigwa
ISBN 978-9987-671-57-1
Edition Language
Date Published 2023-12-18
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 44
Chapters 3

Related Books

Jitayarishe Kuhitimu Elimu ya Msingi Kiswahili
Jitayarishe Kuhitimu Elimu ya Msingi Kiswahili
  • Shule za Msingi
Tzs5,000.00 Tzs5,000.00
View