Jitayarishe Kuhitimu Elimu ya Msingi Kiswahili

Jitayarishe Kuhitimu Elimu ya Msingi Kiswahili

4.0
  • AuthorWilson M. S. Kajuna na Serapion Karoli
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2022

Kitabu hiki kimezingatia mada zote muhimu katika muhtasari wa somo la Kiswahili kwa Shule za Msingi. sura zimepangiliwa kwa uangalifu wa hali ya juu ili kumpatia mwanafunzi ujuzi unaotakiwa kumfanya ashinde Mazoezi na Mitihani ikiwamo mtihani wa kuhitimu Elimu ya Msingi. Aidha, mada zote zilizomo kitabuni zimepangiliwa kwa utaratibu unaomwezesha mwanafunzi kukitumia kitabu hiki bila hata msaada wa Mwalimu.

Mwishoni mwa sura ya 1, 2, 3, na 4 kuna maswali ya mwanafunzi kujipima kama ameelewa. Majibu yaliyotolewa katika sura ya 6 na 8 yanamwezesha mwanafunzi kuhakiki usahihi wa majibu aliyoyatoa kwa mazoezi na Mitihani iliyotungwa kwaaajili yake.
Kitabu kina sura nane zifuatazo:

  1. Ufahamu
  2. Utungaji
  3. Mazoezi ya Lugha
  4. Methali na Misemo
  5. Marudio
  6. Majibu ya Mazoezi na Msamiati
  7. Mitihani
  8. Majibu ya Mitihani

Kitabu hiki kimepata ithibati ya Taasisi ya Elimu Tanzania kitumike kwa Shule za Msingi nchini Tanzania.

Pay with DPO

dpo
Book Title Jitayarishe Kuhitimu Elimu ya Msingi Kiswahili
Author Wilson M. S. Kajuna na Serapion Karoli
ISBN 978-9987-671-31-1
Edition Language
Date Published 2023-12-14
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 93
Chapters 8

Related Books

Jizatiti Mitihani ya Hisabati Darasa la Nne
Jizatiti Mitihani ya Hisabati Darasa la Nne
  • Shule za Msingi
Tzs5,000.00 Tzs5,000.00
View