IJUE MANISPAA YA BUKOBA
-
AuthorPius B. Ngeze
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2026
Ijue Manispaa ya Bukoba ni kitabu kinachompeleka msomaji katika safari ya kuvutia ya kuifahamu Manispaa ya Bukoba kwa undani historia yake, jiografia, utamaduni, uchumi na maendeleo yake ya sasa na ya baadaye. Bukoba kama makao makuu ya Mkoa wa Kagera, mchango wake katika Vita vya Kagera, maendeleo ya miundombinu, sekta za kiuchumi kama kilimo, uvuvi, viwanda na biashara, pamoja na fursa kubwa za utalii zinazopatikana kandokando ya Ziwa Victoria. Kitabu hiki pia kinaonesha maisha ya wananchi wa Bukoba, utajiri wa utamaduni wa Wahaya, pamoja na changamoto na fursa zinazokabili mji huu unaokua kwa kasi. Aidha, kinaweka wazi dira ya maendeleo ya baadaye ya Bukoba kuwa mji wa kisasa, endelevu na wenye uchumi imara. Pia kitabu hiki ni muhimu kwa wanafunzi, watalii, watunga sera na kila anayependa kuelewa kwa kina maendeleo ya miji ya Tanzania na hasa Manispaa ya Bukoba.
Pay with DPO

