HISTORIA YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

HISTORIA YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

4.0
  • AuthorPius Msekwa
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2019

Kusudio la kitabu hiki ni kuweka kumbukumbu ya matukio mbalimbali ambayo, kwa pamoja, yanatengeneza Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambao uliasisiwa mwezi Aprili, 1964. Matukio muhimu yanayozungumziwa katika kitabu hiki, yameoneshwa katika orodha ya YALIYOMO Kuna aina tofauti za uandishi wa Historia. Kwa mfano, kuna aina ya uandishi wa Historia ambayo huishia katika kusimulia matukio husika. Tofauti na aina hiyo ya uandishi, kitabu hiki kimekwenda mbali zaidi ya kusimulia matukio yenyewe, kwa kueleza vilevile sababu halisi za matukio hayo. Kwa mfano, tumeeleza sababu za msingi zilizochochea kuwapo kwa Muungano huu; na sababu za usiri uliofunika mchakato huo hadi wakati wa kusaini Mkataba wa Makubaliano ya kuunda Muungano huu. Vilevile tumeeleza sababu za msingi zilizomfanya Mwalimu Nyerere, pamoja na Chama Tawala, kuendelea kukataa majaribio yote ya kubadilisha muundo wa Muungano huu na kuufanya uwe wa serikali tatu badala ya mfumo wa Serikali mbili.

Pay with DPO

dpo
Book Title HISTORIA YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
Author Pius Msekwa
ISBN 978 9987 07 092 3
Edition Language KISWAHILI
Date Published 2019-08-02
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 77
Chapters 7

Related Books

SILAHA 100 ZA KIONGOZI
SILAHA 100 ZA KIONGOZI
  • UONGOZI NA UTAWALA (LEADERSHIP & ADMINISTRATION)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View
Kudos President  Magufuli
Kudos President Magufuli
  • UONGOZI NA UTAWALA (LEADERSHIP & ADMINISTRATION)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View