BUSHUBI       Washubi Wapo na Wataendelea Kuwapo

BUSHUBI Washubi Wapo na Wataendelea Kuwapo

4.0
  • AuthorP us B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2025

Kitabu hiki ni mchango muhimu katika juhudi za kuhifadhi historia, utamaduni, lugha na urathi wa Washubi, ambao ni miongoni mwa jamii za asili zenye historia ndefu katika Wilaya ya Ngara, Mkoa wa Kagera. Katika kipindi ambacho dunia inabadilika kwa kasi kutokana na utandawazi, maendeleo ya teknolojia na mabadiliko ya kijamii, ni muhimu zaidi kuliko wakati mwingine wowote kuandika na kuhifadhi historia na utambulisho wa jamii zetu. Mwandishi amejitahidi kukusanya na kuwasilisha taarifa kuhusu chimbuko la Washubi, maendeleo yao ya kihistoria, mfumo wa uongozi, mila na desturi, lugha ya Kishubi, shughuli za kiuchumi, elimu, dini, utamaduni na mchango wao katika maendeleo ya Tanzania. Aidha, kitabu hiki kinaangazia changamoto zinazoikabili Bushubi leo pamoja na fursa zilizopo kwa vizazi vya sasa na vijavyo. Kitabu hiki ni muhimu kwa Watanzania wote ili kujua Historia ya Bushubi.

Pay with DPO

dpo
Book Title BUSHUBI Washubi Wapo na Wataendelea Kuwapo
Author P us B. Ngeze
ISBN 978-9912-767-94-2
Edition Language Kiswahili
Date Published 2026-10-28
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 367
Chapters 24

Related Books

KNOW ZANZIBAR   The Cradle of Cloves
KNOW ZANZIBAR The Cradle of Cloves
  • DISCOVER COUNTRY TANZANIA
Tzs5,000.00 Tzs8,000.00
View
BUGUFI    Wahangaza Wapo na Wataendelea  Kuwapo
BUGUFI Wahangaza Wapo na Wataendelea Kuwapo
  • DISCOVER COUNTRY TANZANIA
Tzs5,000.00 Tzs8,000.00
View