BINADAMU NI ROHO NA MWILI
-
AuthorPius B. Ngeze
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2020
Kitabu kinaeleza Asili ya Binadamu kwa mujibu wa Sayansi na kwa mujibu wa Biblia takatifu na Quran tukufu. Kinaelimisha juu ya Elimu-nafsia, sehemu mbili za maisha ya binadamu, sehemu kuu mbili za binadamu, yaani, Mwili na Ufahamu. Ufahamu nao una sehemu tano, yaani Akili, Roho, Mwili, Nguvu na Nafsi. Sehemu zote hizi zina kazi maalum ndani ya binadamu.
Kitabu kinaeleza kuwa binadamu ni roho na mwili. roho inaishi katika mwili ulio hai. binadamu bila roho si binadamu tena, ni marehemu ni kasha lililo tupu.
aidha, kitabu kina sura juu ya uhusiano uliopo kati ya roho, nafsi na mwili. sura ya mwisho inahusu yesu kristo kulia kwa kifo cha rafiki yake Lazaro.
Kitabu hiki ni moja ya vitabu vinavyochapishwa na kampuni hii chini ya mfululizo wa "Uchimbaji Elimu ya Dini"
Pay with DPO