Teach Yourself Kiswahili

Teach Yourself Kiswahili

4.0
  • AuthorTanzania Educational Publishers Ltd
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2018

UTANGULIZI Dhumuni la kuandika kitabu hiki Kitabu hiki kimeandikwa kwa kuwalenga watu wa ndani ya nchi na wageni wanaokijua Kiingereza vizuri, lakini, wana hamu/wanahitaji kujua Kiswahili. Lugha hii kwa sasa inazungumzwa na zaidi ya watu milioni 140 duniani. Lakini, hata watu wanaokijua Kiswahili, wanakihitaji kitabu hiki, ili, na wao waweze kuandika na kuzungumza Kiswahili sanifu. Kumbuka kwamba si kila mtu anayezungumza, anayeongea na kuandika Kiswahili, anajua lugha hii kwa ufasaha. Kitabu hiki kitawasaidia watu kuongea na kuandika Kiswahili fasaha. Aidha, kitabu hiki kitawaongezea msamiati wa Kingereza watu wanaojua Kiswahili, lakini, hawajui maneno mengi ya Kingereza.

Pay with DPO

dpo
Book Title Teach Yourself Kiswahili
Author Tanzania Educational Publishers Ltd
ISBN 978 9987 07 056 5
Edition Language
Date Published 2018-03-01
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 236
Chapters 44

Related Books

Jifunze KISWAHILI Sanifu
Jifunze KISWAHILI Sanifu
  • KISWAHILI KWA DUNIA (KISWAHIL FOR THE WORLD)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View