Neema

Neema

4.0
  • AuthorVictoria Lazarus
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2023

Neema ni kitabu na ni jina la mtoto. Hiki ni kitabu cha hatua ya tatu. Katika kitabu hiki mtoto Neema anasalimiana na mwezi na kufanya urafiki nao. Neema anajifunza tabia na maumbo ya mwezi. Mwezi unamfundisha Neema maumbo yake. Maumbo hayo ni Mwezi Mwandamo, Mwezi Mpevu, Mwezi Kibiongo na Mwezi Kamili.

Je, Mwezi unalala? Kupwa na Kujaa kwa bahari ni nini?

Majibu yamo kitabuni.

Pay with DPO

dpo
Book Title Neema
Author Victoria Lazarus
ISBN 978-9987-671-40-3
Edition Language Kiswahili
Date Published 2023-12-27
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 22
Chapters 1

Related Books

Mapambano
Mapambano
  • VITABU VYA WATOTO (CHILDREN'S BOOKS)
Tzs5,000.00 Tzs5,000.00
View
ACHA KULIA OVYO
ACHA KULIA OVYO
  • VITABU VYA WATOTO (CHILDREN'S BOOKS)
Tzs5,000.00 Tzs5,000.00
View