Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Samaki

Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Samaki

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2016

Ushahidi wa maandishi kuhusu ufugaji wa samaki wa kwanza duniani ni wa mkulima wa china, Fan Lai, mwaka 475 kabla ya Kristo kuzaliwa. Hata hivyo, ufugaji wa samaki wa kisasa ulianzia nchini Ujerumani mwaka 1,733 baada ya Kristo kuzaliwa. Hapa Tanzania, majaribio ya ufugaji wa samaki yalianza mwaka 1949. Taarifa ya Shirika la Chakula Duniani ya 1968 inaonyesha kuwa, Tanzania ilikuwa na mabwawa ya samaki 8,000. Kwa sasa yapo zaidi ya 14,000 yaliyotapakaa mikoa yote nchini na wafugaji zaidi ya 17,000 hufuga samaki katika maji – baridi na zaidi ya 3,000 katika maji - chumvi. Wafugaji wengi ni wadogo wakiwa na mabwawa yenye wastani wa ukubwa wa mita za mraba 150. Aina maarufu za samaki zinazofugwa nchini ni Perege/Sato na Kambale kwenye maji-baridi na Mwatiko kwenye maji –chumvi.

Pay with DPO

dpo
Book Title Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Samaki
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978 9987 07 051 0
Edition Language KISWAHILI
Date Published 2016-05-11
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 206
Chapters 22

Related Books