Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Nyuki

Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Nyuki

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2018

Huko nyuma, kazi ya kufuga nyuki haikupewa kipaumbele, bali ilifanywa kama shughuli ya kurithi na kuendelezwa kienyeji bila kuweka takwimu wala kuboresha mazingira ya kufugia. Hata hivyo, sekta hii ya Ufugaji wa Nyuki ilipewa uhai na mwelekeo mpya mwaka 1998 pale Sera ya Taifa ya Ufugaji Nyuki ilipoidhinishwa na kupewa nguvu ya kisheria mwaka 2002 kwa Bunge kupitisha Sheria ya Ufugaji Nyuki Na.15 na kuanza kutumika mwaka 2005.

Pay with DPO

dpo
Book Title Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Nyuki
Author Pius B. Ngeze
ISBN
Edition Language KISWAHILI
Date Published 2018-07-04
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 222
Chapters 17

Related Books