Matembezi Kwenye Mbuga za Wanyama

Matembezi Kwenye Mbuga za Wanyama

4.0
  • AuthorNesaa J. Nkwazi na Nkwazi N. Mhango
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2018

Tanzania ina Mbuga za Wanyama zaidi ya 16 ambazo ni Arusha, Hombe, Katavi, Kitulo, Ziwa Manyara, Mahale. Nyingine ni Mkomazi, Mikumi, Mlima Kilimanjaro, Rubondo, Ruaha, Saadani, Serengeti, Tarangire, Milima ya Udzungwa na Kisiwa cha Saanane. Katika kitabu hiki, Mbunga ya Wanyama iliyotembelewa ni Serengeti, nchini Tanzania, ambayo ilianzishwa 1959. Eneo lake ni km. 14,763 (au eneo la maili 5,700). Ni kilometa 335 kutoka Jiji la Arusha, ikipakana na Kenya upande wa Kaskazini na Ziwa Victoria upande wa Magharibi.

Pay with DPO

dpo
Book Title Matembezi Kwenye Mbuga za Wanyama
Author Nesaa J. Nkwazi na Nkwazi N. Mhango
ISBN 978 9987 07 050 3
Edition Language KISWAHILI
Date Published 2018-03-20
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 25
Chapters 5

Related Books

Our Heritage
Our Heritage
  • UTALII (Tourism)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View
The Family Friend of Animals
The Family Friend of Animals
  • UTALII (Tourism)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View