HAKI ZANGU MBELE YA POLISI

HAKI ZANGU MBELE YA POLISI

4.0
  • AuthorAl-Mswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2011

Nimemfahamu mwandishi wa kitabu hiki tangu tukiwa wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Nyakato, mkoani Kagera, Tanzania.
Ametekeleza lengo lake la kusaidia na kuchangia maendeleo ya jamii yetu kwa
kutumia kalamu ambayo inafundisha haki za raia katika kusukuma gurudumu la
maendeleo ya nchi yetu.
Nikiwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekuwa
nikimtia moyo na kumpongeza kwa kazi azifanyazo hasa za uandishi wa vitabu,
kwani, maandishi ni alama ya kudumu katika jamii, hivyo, mafundisho yake
aliyowasilisha kwa jamii yatazidi kutumika kwa lengo la kupunguza kero kwa
wananchi.

Pay with DPO

dpo
Book Title HAKI ZANGU MBELE YA POLISI
Author Al-Mswadiku K. Chamani
ISBN 978 9987 426 32 4
Edition Language Kiswahili
Date Published 2011-01-01
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 102
Chapters 67

Related Books