HAKI ZA WATOTO NA WAZAZI NA  MAKOSA YA KUJAMIIANA

HAKI ZA WATOTO NA WAZAZI NA MAKOSA YA KUJAMIIANA

4.0
  • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2008

Watoto ni matokeo ya wanawake na wanaume kujamiiana.
Kitendo hiki kinaweza kufanywa na watu walio katika mahusiano
ya ndoa au wasiokuwa na ndoa. Kinaweza kufanywa na watu
wawili wanaopendana au wasiopendana. Kinaweza kufanywa
kwa mmoja kulazimishwa au hata kwa kutishia kuuawa.
Kinaweza kufanywa kwa sababu mmojawapo wa watu hawa
wawili anashida ya kimaisha au kiuchumi kama wafanyavyo
changudoa au malaya au kwa mwanamume kulaghaiwa au
kuhongwa fedha au vitu na mwanamke mwenye uwezo, ambaye
ana shida ya tendo hilo au haja yake ni kupata mtoto au watoto.

Pay with DPO

dpo
Book Title HAKI ZA WATOTO NA WAZAZI NA MAKOSA YA KUJAMIIANA
Author Al-Muswadiku K. Chamani
ISBN 978 9987 07 087 9
Edition Language Kiswahili
Date Published 2008-07-01
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 112
Chapters 5

Related Books