HAKI ZA MWALIMU TANZANIA

HAKI ZA MWALIMU TANZANIA

4.0
  • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2011

Kitabu hiki kimejaribu “kudonoa” baadhi ya sheria za Tanzania Bara
ambazo nimeona kuwa ni za msaada kwa Mwalimu kwa ajili ya kutekeleza
Wajibu wake wakati anadai Haki zake na kupata haki wakati anawajibika.
Mwalimu, kama raia mwema, anapaswa kufahamu sheria ‘zote’ za nchi
zinazomuhusu na kuzilinda. Kitabu hiki kitakuwa kama kichocheo cha
kumshawishi mwalimu na watu wengine kuwa na tabia ya kusaka sheria
za nchi kwa lengo la kuzijua na kutimiza wajibu wao kwa manufaa ya
nchi yetu.

Pay with DPO

dpo
Book Title HAKI ZA MWALIMU TANZANIA
Author Al-Muswadiku K. Chamani
ISBN 978 9987 07 004 6
Edition Language Kiswahili
Date Published 2011-06-22
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 141
Chapters 5

Related Books