fbpx
Previous
Previous Product Image

Panya Mahakamani

Sh 3,000,000.00
Next

Mtoto Mtundu

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Wimbi la Mauti

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu:

Ni hadithi inayosimulia mengi kuhusu janga la UKIMWI. Inaonyesha mzigo ambao wazazi wanaubeba katika kuwalea na kuwatunza watoto yatima. Aidha, inaonyesha jinsi Vijana na watu wazima wanavyokumbwa na wimbi la UKIMWI kutokana na starehe na tamaa ya pesa na ya mwili. Aidha, umo ushauri kutoka kwa wataalamu mbalimbali wa afya kuhusiana na tahadhari dhidi ya UKIMWI na huduma na matunzo kwa waathirika na watoto yatima.

Brief Summary
It is about AIDS/HIV: how it spreads and how it can be prevented. It also covers the sick and orphans.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Johansen N. Machume

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU9

ISBN

978 9987 671 19 9

Publication Year

2013

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Wimbi la Mauti”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping