fbpx
Previous
Previous Product Image

Mwanzo na Mwisho wa Uongozi wa Kisiasa

Sh 3,000,000.00
Next

DETERMINE YOUR CAREER PATH: A Career Guide for Secondary Schools and College Students in Tanzania

Sh 5,000.00
Next Product Image

Wanyonge Wasinyongwe

Sh 3,000,000.00

A. Outline of the book

The book, written in Kiswahili, has the following 8 chapters:
1. Kuasisiwa kwa Biashara ya Kubeba Abiria kwa kutumia Baiskeli na Pikipiki
2. Biashara ya Kubeba Abiria kwa kutumia Baiskeli na Pikipiki ni Ajira na Huduma muhimu kwa Wanyonge
3. Kina Ngeze ni wakuogopwa
4. Serikali Iruhusu Pikipiki Kubeba Abiria
5. Ngeze Anatakiwa Kupongezw Si Kulaimiwa
6. Si Ngeze, Mfuru wala Tossi, ni mfumo
7. Mwenyekiti Ngeze Awatetea Waendesha Pikipiki na Baiskeli
8. Sitetei Uvunjaji wa Sheria, Natetea Wanyonge Nchini
9. Pikipiki ni Kero kwa Nani, Mwananchi au Serikali
10. Ya Pius Ngeze: Nani kamtuma Manyerere
11. Maandishi ya Kupotosha Ukweli

Brief summary

This is about the Weak Should Not Weakened.
Maelezo mafupi ya kitabu:
Wanyonge Wasinyongwe ni Mkusanyo wa Hotuba mbili Zilizotolewa Mjini Bukoba tarehe 19-2-2004 na 31-1-2007 na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kagera, Ndugu Pius B. Ngeze, kuwatetea waendesha baiskeli na pikipiki wa mjini Bukoba kwa kuiomba serikali irekebishe sheria iliyopo ambayo inakataza vyombo vyenye magurudumu mawili kubeba abiria na kuwatoza kodi ingawa sheria hiyohiyo inaruhusu vyombo hivyo kubeba abiria mradi hawatozwi nauli! Yamo pia makala yaliyoandikwa na Waandishi wa Habari mahiri na kuchapishwa katika baadhi ya magazeti nchini juu ya hotuba hizo, hasa ile ya pili.

Ndugu Ngeze, kama Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama tawala alikuwa akikisemea Chama katika Mkoa wake, hususan, Chama Cha Mapinduzi katika Wilaya ya Bukoba Mjini, ambapo Matawi yote 32, Kata 13 kati ya 14 na Kamati ya Siasa ya Wilaya waliishaamua hivyo. Mwenyekiti wa Chama ndiye Msemaji Mkuu wa Chama katika eneo lake.
Hotuba zote mbili na hasa ile ya pili, zilipokelewa kwa hisia tofauti. Waendesha pikipiki na baiskeli na watumiaji wa huduma hiyo nchi nzima, walimpongeza ndugu Ngeze pamoja na Chama Mkoani na Wilayani Bukoba Mjini. Watu wengine walimwona kama anatetea uvunjaji wa sheria. Ndugu Ngeze amekataa tafsiri hiyo ila amekuwa akiwatahadharisha Viongozi wetu wasome Nyakati.

Hoja yake kuu ni kuwatetea Wanyonge wa nchi hii wanaojaribu kujitafutia riziki, mtaji wao ukiwa ni nguvu zao. Anauliza sheria ipo kwa faida ya nani? Sheria gani haiwezi kurekebishwa? Hivi sheria inaweza kurekebishwa au kubadilishwa bila kulalamikiwa? Ni viongozi wangapi, hasa wa kisiasa wanaopigiwa kura, ambao hawaoni umuhimu na unyeti wa suala hili linalogusa Wanyonge wengi wa nchi hii ambao ndio wengi wanaopiga kura na kujaza Misikiti na Makanisa?

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Category:

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P12TEPU3

ISBN

978 9987 07 011 4

Publication Year

2008

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Wanyonge Wasinyongwe”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping