fbpx
Next

Haki za Madereva, Abiria na Polisi Barabarani

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Usalama Barabarani: Jukumu Letu

Sh 3,000,000.00

Ni kitabu kinachoelezea vipengele mbalimbali kuhusiana na matumizi salama ya barabara zetu. Utekelezaji wa Sheria ya Usalama Barabarani, wajibu wa madereva, watu wanaotembea kwa miguu, matumizi salama ya mikokoteni, pikipiki, baiskeli na matumizi ya vivuko, ulevi unaotokana na pombe na dawa za kulevya.

Mwandishi wa kitabu hiki ni dereva wa siku nyingi na mwandishi mzoefu ambaye ametumia uzoefu wake na utafiti kuchambua takwimu alizozipata katika kujenga hoja ya usalama katika barabara zetu.

Aidha mwandishi ameandika kuhusu alama za barabarani, wapiga debe, udugu na urafiki katika utoaji wa leseni kwa wasiostahili na rushwa. Kwa hakika, hiki ni kitabu cha aina yake ambacho washikadau na watumiaji wa barabara wanapaswa kuwa nacho na kukisoma.

Brief Summary
The book is about our responsibility of bringing about safety on our roads.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Johansen L. Lutalala

Language

Kiswahili

Part #

P10TEPU1

ISBN

9987 671 63 2

Publication Year

2008

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Usalama Barabarani: Jukumu Letu”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping