fbpx
Previous
Previous Product Image

Uchoyo Hauna Malipo

Sh 3,000,000.00
Next

Huu ni Mchezo Gani?

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Uongo wa Mpiga Ramli

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu

Ni hadithi inayosimulia kisa cha mpiga ramli, mama aitwaye Karungi na mumewe Lwabukoba. Lwabukoba aliwaamini wapiga ramli. Wazazi wake walimwonya dhidi ya imani hii lakini hakuwasikiliza. Karungi alipoolewa ilipita miaka kadhaa bila kutunga mimba. Hii ilifanya ndoa yao isiwe ya furaha. Mumewe alijitahidi kwenda kwa mpiga ramli kuulizia chanzo cha hali hiyo. Mpiga ramli akamweleza kuwa mkewe hawezi kutunga mimba na akitokea akapata mtoto atakuwa taahira. Karungi hakuamini utabiri huo na akakataa ushirikina. Mwishoni alizaa mtoto aliyewafaa maishani mwao.

Brief Summary
The story shows how a Fortune Teller lied on mama Karungi.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Domitian P. Kagaruki

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU37

ISBN

978 9987 671 88 5

Publication Year

2011

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Uongo wa Mpiga Ramli”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping