fbpx
Previous
Previous Product Image

KISWAHILI COURSE: For English and French Speakers

Sh 5,000.00
Next

Chemistry Questions with Worked Out Answers for Forms One and Two Examinations

Sh 4,000,000.00
Chemistry Questions with Worked Out Answers for Forms One and Two Examinations

Ujasiri wa Mtoto wa Mfalme

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu:

Ni hadithi inayosimulia ukatili na wivu wa Mfalme Mokiri na ujasiri na moyo wa kusamehewa na mwanaye Mobimba. Mfalme Mokiri alitawala nchi ya Kitare. Pamoja na kuoa wanawake wengi alibahatika kupata mtoto mmoja wa kiume aliyeitwa Mobimba. Mobimba alikuwa na uwezo mkubwa wa akili darasani. Baada ya kumaliza masomo alipelekwa Chuo cha Uaskari. Alipohitimu alipewa kazi ya Uwaziri Mkuu katika nchi ya Kitare chini ya Mfalme Mokiri baba yake.
Mobimba aliwaongoza wananchi wa Kitare kwa unyenyekevu na haki. Hivyo wananchi wa Kitare wakampenda kuliko baba yake. Mfalme alipogundua hilo hakupendezwa. Akapanga mipango ya kutaka kumuua.

Brief Summary
Mabimba was the son of King Mokiri who on proving to be a better future leade than his father, the latter planned to kill him.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Category:

Description

Additional information

Book Author

Domitian P. Kagaruki

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU38

ISBN

978 9987 671 89 2

Publication Year

2011

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ujasiri wa Mtoto wa Mfalme”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping