fbpx
Previous
Previous Product Image

Majukumu ya Viongozi wa Kitongoji, Mtaa, Kijiji na Kata

Sh 5,000,000.00
Next

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere’s Vision of Education

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Uhusiano wa Chama Tawala, Serikali na Sheria za Nchi

Sh 4,000,000.00

Mtunzi, Bwana Al-Muswadiku Chamani (pichani), ameeleza kitabuni uhusiano uliopo kati ya Chama Tawala, Serikali inayotokana na chama hicho na sheria ambazo hutungwa na Bunge. Kitabu hiki ni cha pekee nchini na kinaeleza mada ambayo watu wengi hawaijui, ingawa wanapaswa kuijua, hasa, wale waliopiga kura na kukipa ushindi chama cha siasa kimojawapo.
Kitabu kinaeleza kuwa wakati wa kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa kupata serikali mpya, ambacho katika nchi hii ni kila baada ya miaka mitano, kila chama cha siasa huwa na Ilani ya Uchaguzi ambayo imesheheni ahadi kemkem za kuwashawishi wapiga kura ili wakichague kiweze kuunda Serikali. Chama kitakachoshinda Uchaguzi Mkuu kitakuwa kimeaminiwa na wapiga kura wengi, hivyo kimepewa fursa ya kutekeleza Ilani yake ya Uchaguzi, Sera na ahadi za mgombea Urais, zilizonadiwa nchi nzima katika kipindi chote cha kampeni.

Jinsi chama hicho kitakavyotekeleza Ilani yake ya Uchaguzi, Sera na Ahadi za Rais alizozitoa wakati wa kampeni, imeelezwa kitabuni kwa ufasaha, Kiswahili sanifu na rahisi.
Hiki ni kitabu cha lazima kwa kila mwananchi, hususan, Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa, wanachama wa vyama vya siasa, Majaji na Mahakimu, Wabunge, Madiwani na Wajumbe wa Serikali za Mitaa, yaani, Vitongoji, Mitaa, Vijiji na Kata na wananchi wote, hasa, wale waliopiga kura, na asasi zisizo za serikali.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Category:

Description

Additional information

Book Author

A.K. Chamani

Language

Kiswahili

Part #

P4TEPU5

ISBN

978 9987 07 089 02

Publication Year

2018

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Uhusiano wa Chama Tawala, Serikali na Sheria za Nchi”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping