fbpx
Previous
Previous Product Image

Sitasahau

Sh 3,000,000.00
Next

Uongo wa Mpiga Ramli

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Uchoyo Hauna Malipo

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu:

Ni hadithi inayohusu tabia ya wanafunzi wawili katika Shule ya Msingi. Watoto hao ni Kazimoto na Msemakweli. Siku moja mwalimu wao Neema, aliwapatia kila mmoja wao kasha la peremende kama zawadi kwa kuwahi shuleni kila siku na kwa kuonyesha adabu nzuri kwa Walimu. Baada ya kupokea zawadi hizo kila mmoja alikuwa na uamuzi wake. Kazimoto alijigawia peremende moja tu na zilizosalia zote akawagawia wanafunzi wenzake. Lakini, Msemakweli aliamua azile zote peke yake. Ilitokea siku moja wanafunzi hawa wawili wakapatikana na kosa na kupewa adhabu ya kupalilia shamba la Shule. Katika kutekeleza adhabu hiyo wema wa Kazimoto ukalipwa na uchoyo wa Msemakweli ukakosa malipo.

Brief Summary
The book shows that Greed has no Rewards.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Josephat K. Joseph

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU36

ISBN

978 9987 671 86 1

Publication Year

2013

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Uchoyo Hauna Malipo”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping