Uboreshaji wa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji

Availability: In stock

Sh 15,000

Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 12 chapters:
1. Asili na Historia ya Kuku
2. Faida za Kufuga Kuku
3. Sifa za Kuku wa Kienyeji
4. Njia Kuu za Kufuga Kuku
5. Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Kufuga Kuku wa Kienyeji
6. Matatizo Yanayoambatana na Uboreshaji wa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
7. Utunzaji Bora wa Kuku wa Kienyeji
8. Chakula cha Kuku
9. Banda la Kuku
10. Magonjwa ya Kuku
11. Uzalishaji na Uchaguzi wa Kuku
12. Uwekaji wa Kumbukumbu

B. Maelezo mafupi ya kitabu:
Uboreshaji wa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji ni kazi inayohitaji Maarifa na Juhudi ili kupata mazao mengi na yaliyo bora. Wanunuzi hupenda kuku bora, mayai bora na nyama bora ambayo hupatikana kutokana na juhudi ya mfugaji kuweza kuwatunza kuku wake ipasavyo.
Ufugaji bora wa kuku humhitaji mfugaji kuelewa na kuzingatia kanuni za ufugaji bora kuku.
Ni lazima mfugaji wa kuku wa kienyeji awe na elimu hii ili aweze kuendesha shughuli zake kwa usahihi na kwa manufaa ya wateja.

Brief Summary
The book is on Poultry Husbandry.

Quantity :
Add to Wishlist
Add to Wishlist
Compare

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Uboreshaji wa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji”
Loading...