fbpx
Previous
Previous Product Image

Sukari Yenye Sumu

Sh 4,000,000.00
Next

Tokomeza Malaria

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Tokomeza UKIMWI

Sh 5,000,000.00

Tokomeza UKIMWI ni kitabu ambacho hufafanua, hufundisha na hata kutoa elimu, ushauri na wito kwa wadau wote nchini juu ya hatua madhubuti za kuchukua ili kudhibiti maambukizi ya VVU na UKIMWI, kupiga vita unyanyapaa na namna ya kuwatunza watu wenye VVU na watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi. Kimeandaliwa kwa lengo la kuhamasisha jamii, wakubwa kwa wadogo, ili kushiriki kikamilifu katika vita hii ya kupambana na kudhibiti maambukizi ya VVU na UKIMWI. Kwa hakika, mapambano dhidi ya ugonjwa huu hatari yanahitaji kufanyiwa marekebisho mengi zaidi. Jamii nzima inahitaji kulikubali tatizo hili na kuamua kwa dhati kulifanyia mageuzi. Hii ni pamoja na kutambua udhaifu, tabia na matendo yetu na hivyo kuamua bila haya kufuata njia sahihi za kuudhibiti. Ni lazima kubuni mbinu mbalimbali mbadala za kuhamasisha watu wote katika jamii ili kuepuka tabia na mienendo yote inayosababisha maambukizi ya UKIMWI. Huu ndio wajibu wetu sote.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Paschal M. Nchunda

Language

Kiswahili

Part #

P16TEPU3

ISBN

978 998 671 96 0

Publication Year

2008

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Tokomeza UKIMWI”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping