fbpx
Previous
Previous Product Image

Tokomeza UKIMWI

Sh 5,000,000.00
Next

Sukari Yenye Sumu

Sh 4,000,000.00
Next Product Image

Tokomeza Malaria

Sh 5,000,000.00

Tokomeza Malaria ni kitabu kilichoandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu muhimu juu ya ugonjwa huu hatari unaoua maelfu ya wananchi kila siku na jinsi ya kuutokomeza. Aidha, kitabu kimejaribu kufafanua,kufundisha na kutoa ushauri au wito kwa jamii na serikali yake juu ya hatua, madhubuti za kuchukua ili kuzuia na kudhibiti maambukizi ya ugonjwa huu.
Ni matumaini yangu kuwa jamii nzima, yaani, wasomaji, asasi zisizo za serikali, serikali, taasisi na kadhalika, watatumia kitabu na taaluma hii inaleta mapinduzi makubwa katika kudhibiti na kuzuia maambukizi mapya ya ugonjwa huo na hatimaye kuutokomeza kabisa nchini.
Lazima tuikatae malaria. Tukatae kuizoea. Isitushinde. Tuishinde na kuitokomeza.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Paschal M. Nchunda

Language

Kiswahili

Part #

P16TEPU4

ISBN

978 9987 07 003 9

Publication Year

2008

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Tokomeza Malaria”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping