fbpx
Previous
Previous Product Image

Vijana Hodari

Sh 3,000,000.00
Next

Emi na Mama wa Kambo

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Tigaina na Yangeyange

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu:

Ni hadithi inayosimulia kisa cha binti mzuri aliyependa shanga. Mama yake anamuonya kuhusu tabia hiyo. Mfalme Kimwaga anamtuma Yangeyange ili aweze kumpata Tigaina.

Akiwa anamfuata Yangeyange mwenye shanga, Tigaina anajikuta akiolewa na mwana wa Mfalme. Mfalme anatoa mahari ya ng’ombe wengi kwa wazazi wa Tigaina. Tangu siku ile wazazi wa Tigaina wanakuwa matajiri.

Brief Summary
The book is about a girl, Tigaina, who loved vey much beads. The White Reef Heron used beads to lure her to an unknown destination ending up being married to a Prince.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Laurent R.W. Kamugisha

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU21

ISBN

9987 671 14 4

Publication Year

2003

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Tigaina na Yangeyange”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping