fbpx

TEHAMA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO

Sh 5,000,000.00

A. Outline of the book

The book, written in Kiswahili, has the following 7 chapters:
1. Mawasiliano na Historia yake
2. Mawasiliano kwa Kutumia Vielelezo
3. Sauti
4. Mawasiliano kwa Kutumia njia za Asili
5. Mawasiliano kwa njia za Kisasa
6. Mtandao wa Mawasiliano
7. Kompyuta

Brief Summary
This is an approved ICT supplementary book suitable for Teachers -trainess stu in Teacher Training Institutes and Teachers in Primary schools.

B. Maelezo mafupi ya Kitabu:
TEHAMA–Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, ni kitabu ambacho kimeandaliwa kwa ajili ya Marejeo kwa Walimu wa Shule za Msingi na Walimu Tarajali katika Vyuo vya Ualimu. Somo hili limelenga kumpa mwanafunzi maarifa na stadi katika maeneo ya Habari na Mawasilino ili amalizapo elimu ya msingi aweze,

kwanza, kutambua na kutumia mbinu mbalimbali za kutafuta na kupata habari kutoka vyanzo tofauti.

Pili, kumjengea uwezo wa kutumia teknolojia ya asili na ya kisasa kupata ujuzi na maarifa.

Tatu, aweze kutambua umuhimu wa kutumia teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika mchakato wa kujifunza.

Nne, aweze kutambua umuhimu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika ukuzaji wa maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Mwalimu ndiye mwenye wajibu wa kuutafsiri mtaala huo na kuufikishakatika utekelezaji halisi darasani. Katika kutekeleza jukumu hilo, mwalimu anao wajibu wa kukuza utaalamu wake wa kufundisha somo la TEHAMA, kwa kulitumia vilivyo katika kufikia malengo na matarajio ya jamii yetu ya Tanzania.

Mwalimu atakayefundisha somo la TEHAMA atahitaji kuwa na ujuzi na maarifa yeye mwenyewe. Sehemu kubwa ya ujuzi wa mwalimu utatokana na juhudi zake mwenyewe. Mwalimu mzuri ni yule aliye na uwezo wa kutafuta, kuuchuja na kuutumia ujuzi anaoupata kwa uangalifu katika kukuza vipaji vya wanafunzi wake kulingana na matarajio ya jamii husika. Kitabu hiki, ambacho kina sura saba, kimeandaliwa ili kumpatia mwalimu maarifa na ujuzi unaohitajika ili kumwezesha kufudisha somo hili katika Shule za Msingi.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Category:

Description

Additional information

Book Author

Elias Zacharia Maguttah

Language

Kiswahili

Part #

P35TEPU1

ISBN

978 9987 426 03 4

Publication Year

2007

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “TEHAMA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping