fbpx
Previous
Previous Product Image

Tokomeza Malaria

Sh 5,000,000.00
Next

Tokomeza UKIMWI

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Sukari Yenye Sumu

Sh 4,000,000.00

Bibi Pelagia Aloys Katunzi alizaliwa Kijijini Bushumba, Tarafa ya Izigo, Wilayani Muleba, Mkoani Kagera, Novemba 1954. Alihitimu elimu ya Msingi mwaka 1969. Aliolewa mwaka 1972. Ana watoto wanne na wajukuu wawili. Mwaka 1980 aliajiriwa na Shirika la Posta la Tanzania mpaka mwaka 1998 alipofukuzwa kazi. Wakati huo alikuwa amegundulika kuwa ana virusi vya UKIMWI.

Mwaka 1989 alijiunga na WAMATA (Walio katika Mapambano na AIDS Tanzania) ambapo alipata ushauri na elimu sahihi ya ukweli kuhusu UKIMWI.

Mwaka 1991 alichukua mafunzo ya ushauri akawa Mshauri wa kujitolea mpaka mwaka 1993 alipoajiriwa na Mradi wa Kudhibiti Kuenea 42
kwa UKIMWI Mkoani Kagera (Kagera HIV/AIDS Home Based Care Counselling and Orphans Support) unaofadhiliwa na Word Vision Tanzania, akiwa Project Counselor kazi anayoifanya mpaka sasa (2013). Kutokana na kazi yake ya kutoa elimu ya UKIMWI kwa jamii, amewahi kuhudhuria makongamano ya Kimataifa huko Afrika Kusini, Uganda, Kanada, Zimbabwe na mengi ya Kitaifa ambapo aliongezea ujuzi katika fani ya ushauri na uandishi.
Mwaka 1990 alitunga shairi la WAKATI lililompa sifa ya utunzi, na kupata mashabiki wengi waliombatiza kwa jina la Mama Wakati.

Sukari Yenye Sumu ni kitabu cha Mashairi kinachotoa elimu ya kuwawezesha waathirika wa UKIMWI kuishi kwa matumaini. Elimu hii inawapa uwezo wa kukabiliana na matatizo mbalimbali. Kitabu hiki kinatoa pia mafunzo na maonyo. Mwandishi wa kitabu hiki ni mwanachama wa Kagera Press Club.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Pelagia A. Katunzi

Language

Kiswahili

Part #

P16TEPU5

ISBN

978 9987 671 27 4

Publication Year

2003

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Sukari Yenye Sumu”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping