fbpx
Previous
Previous Product Image

Sauti ya Mtoto Isikikayo Kutoka Msituni

Sh 3,000,000.00
Next

Uchoyo Hauna Malipo

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Sitasahau

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu

Sitasahau ni hadithi inayosimulia ya kisa cha watoto wawili wa wazazi tofauti. Majina yao ni Kakaaka na Binamungu. Kakaaka alitoka katika familia maskini na kwa sababu hii alisoma shule kwa shida. Kwa upande mwingine, hali ya maisha ya wazazi wa Binamungu ilikuwa nafuu, na akasoma shule kwa kulelewa na deko. Lakini, pamoja na kuhangaikiwa na wazazi wake, baada ya Binamungu kuajiriwa, kwa miaka mingi aliwasahau wazazi wake waliokuja kuwa na dhiki baada ya baba yake kufukuzwa kazi na mwajiri wake mwenye asili ya kihindi. Hata hivyo, kwa ushawishi wa Kakaaka, hatimaye, Binamungu alirudi nyumbani, akawaomba radhi wazazi wake, wakamsamehe, akajirudi, akaanza kuwasaidia na kuwatunza.
Ni dhahiri kuwa ingawa mwanzoni Binamungu alisahau fadhila za wazazi wake, lakini, mwishoni aliamua kutosahau.
Hadithi hii ina mafunzo gani kwetu? Yajue kwa kusoma kitabu hiki.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Salvatory A. Kaijunga

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU35

ISBN

978 9987 07 068 8

Publication Year

2016

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Sitasahau”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping