fbpx
Previous
Previous Product Image

Ujasiri wa Mtoto wa Mfalme

Sh 3,000,000.00
Next

Mchera Ziwani

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Shughuli za kila siku za Anna

Sh 3,000,000.00

Maelezo Mafupi ya Kitabu

Shughuli za kila siku za Anna ni kitabu kinachoeleza Anna anavyofanya shughuli zake za kila siku kwa utaratibu mzuri. Shughuli hizi zimepangwa kufuatana na alfabeti. Kila herufi ya alfabeti inayo shughuli yake maalumu kwa Anna na wenzake.
Madhumuni ya kuandika kitabu hiki ni kufundisha maadili mema mtoto tukitilia maanani methali ya Kiswahili isemayo, “Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.” Nia ni maadili haya yawe mfano wa kuigwa na watoto wetu wakiwa bado wadogo. Kila mwisho wa ukurasa kuna swali la kujibu. Mwishoni mwa kitabu kuna zoezi.
Walengwa wa kitabu hiki ni wanafunzi wa Shule za Msingi.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Category:

Description

Additional information

Book Author

D. Munywambele

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU1

ISBN

978 9987 671 49 6

Publication Year

2003

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Shughuli za kila siku za Anna”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping