fbpx
Previous
Previous Product Image

Sokwe aliyechukia Kufugwa

Sh 3,000,000.00
Next

Sitasahau

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Sauti ya Mtoto Isikikayo Kutoka Msituni

Sh 3,000,000.00

Maelezo Mafupi ya Kitabu

Sauti ya Mtoto Isikikayo kutoka Msituni ni hadithi inayomwonyesha mwanafunzi kutojiweza darasani, lakini, kwa kazi nyingine anaweza kuwa hodari. Kwa mfano, Kazimotoingawa hakuwa hodari katika masomo yake, aliweza kutekeleza kazi ya ubunifu ambayo yeye na wanafunzi wenzake walipewa na Mwalimu wao. Mwanafunzi huyo aliamua kumfuata mtoto aliyekuwa akisikika kulia usiku. Sauti hiyo ya kulia ilisikika kutokea msituni.
Kazimoto alijikuta akimwokoa mtoto wa mama Malingumu aliyekuwa amepotelea msituni na kumrejesha kwa mama yake.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Josephat K. Joseph

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU34

ISBN

978 9987 07 067 1

Publication Year

2016

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Sauti ya Mtoto Isikikayo Kutoka Msituni”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping