fbpx
Previous
Previous Product Image

Kabaka Mwanga na Wafiadini ya Ukristo, Uganda

Sh 5,000,000.00
Next

Animals and Birds According to the Alphabet

Sh 3,000,000.00
Animals and Birds According to the Alphabet

Penzi Lililoponzwa

Sh 5,000,000.00

Maelezo mafupi ya Kitabu:

Penzi Lililoponzwa ni riwaya iliyosukwa kwenye mazingira ya jiji la Kigali, Rwanda, ambayo iliandikwa miaka ya 1970 kabla ya simu za mkononi kuanza kutumika katika nchi zetu za Afrika Mashariki.

Riwaya, kama jina lake lilivyo, inaonyesha jinsi penzi kati ya Mvulana na Msichana lilivyoponzwa kwa msichana kumsaliti mchumba wake ambaye alikuwa anasoma nje ya nchi. Riwaya inasikitisha, lakini, ina mafunzo mengi kwa vijana wa rika zote.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Categories: ,

Description

Maelezo mafupi ya Kitabu:

Penzi Lililoponzwa ni riwaya iliyosukwa kwenye mazingira ya jiji la Kigali, Rwanda, ambayo iliandikwa miaka ya 1970 kabla ya simu za mkononi kuanza kutumika katika nchi zetu za Afrika Mashariki.

Riwaya, kama jina lake lilivyo, inaonyesha jinsi penzi kati ya Mvulana na Msichana lilivyoponzwa kwa msichana kumsaliti mchumba wake ambaye alikuwa anasoma nje ya nchi. Riwaya inasikitisha, lakini, ina mafunzo mengi kwa vijana wa rika zote.

Additional information

Book Author

Abdallah Msakanjia

Language

Kiswahili

Part #

P31TEPU6

ISBN

978 9987 07 052 7

Publication Year

2018

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Penzi Lililoponzwa”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping