fbpx
Previous
Previous Product Image

Changamoto za Maendeleo ya Mkoa wa Kagera

Sh 5,000,000.00
Next

Wanyonge Wasinyongwe

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Mwanzo na Mwisho wa Uongozi wa Kisiasa

Sh 3,000,000.00

A. Outline of the book
The book,written in Kiswahili, has the following 8 chapters:
1. Mwanzo wenye matumaini na
2. Umepiga hatua kubwa
3. Ngeze atangaza kustaafu uongozi
4. Ngeze anga’tuka ccm
5. Ngeze aionya ccm na fedha za shetani
6. Ninataka kupumzika ni safari ndefu
7. Wengine wanasubirfi nini kung’atuka?
8. Wosia kwa ccm mkoa wa Kagera.

Brief summary
This book is about the Beginning and End of Politial Leadership.
B. Maelezo mafupi ya kitabu:

Mwanzo na Mwisho wa Uongozi wa Kisiasa ni kitabu Chenye Hotuba tatu za mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini. Naye ni ndugu Pius B. Ngeze aliyeongoza Chama Cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kagera akiwa Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo kwa jumla ya miaka 25.
Hotuba ya kwanza ni ile ya Kushukuru Wajumbe waliomchangua kwa mara ya kwanza tarehe 21.9.1977. Hotuba ya pili ni ya Kuaga Uenyekiti huo tarehe 18.10.1997 na Hotuba ya tatu ni ya Kuaga na Kung’atuka Uenyekiti wa Mkoa tarehe 10.9.2007 baada ya kuwa amerudi uongozini mwaka 2002. Zimo pia Makala za mahojiano na maoni ya magazeti maarufu kadhaa nchini.

Hotuba hizi zinatolewa kama kitabu kwa maombi ya Wana-CCM na wananchi wa Tanzania kutokana na ujumbe uliobebwa na Hotuba hizo. Hotuba ya tatu imepewa kichwa cha habari cha, Wosia kwa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera” Uongozi, hasa wa kisiasa, una Mwanzo na Mwisho wake. Safari ndefu ya uongozi wa Kisiasa wa kuchaguliwa kwa kura ya ndugu Ngeze iliyoanza tarehe 10 Aprili, 1974 ilifikia mwisho tarehe 10.9.2007 baada ya jumla ya miaka 33. Uongozi hasa wa kisiasa, una raha na karaha zake. Ni maisha yaliyojaa misukosuko, mapigano, mashambulizi na manenomaneno. Ukiwa kiongozi hakuna kulala.

Kwa kiongozi, kilicho muhimu zaidi kwake ni: atakumbukwa kwa yapi mazuri na alimalizia vipi uongozi? Ndugu Ngeze aliyeanza Uongozi huo akiwa na miaka 31 aling’atuka uongozi akiwa na miaka 64. Hiki ni kitabu muhimu kwa wanachama wa CCM, Wanasiasa, Viongozi na Watanzania wote.

Brief Summary
This book is about the Beginning and End of Political Leadership.

Add to Wishlist
Add to Wishlist
SKU: N/A Category:

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P12TEPU2

ISBN

978 9987 07 010 7

Publication Year

2008

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mwanzo na Mwisho wa Uongozi wa Kisiasa”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping