fbpx
Previous
Previous Product Image

Tausi na Kunguru

Sh 3,000,000.00
Next

Kitenge cha Shangazi

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Mvua Yenye Balaa

Sh 3,000,000.00

Maelezo Mafupi ya Kitabu:

Watoto Musa, Amelia na Koku wanaokota vibonge vya barafu vilivyodondoka wakati wa mvua. Kaka yao, Kaiza, anawakataza. Wakati wakinywa chai , wanapata nafasi ya kumuuliza maswali kuhusu mvua hutoka wapi? Radi ni nini? Kaiza anawajibu barabara. Balaa lililoletwa na mvua hii lina mafunzo tele.

Brief Summary
The book tells a story about the Inverse Rain. In the story the children Musa, Amelia and Koku pick hail stones during the rain. Their brother Kaiza restricts them from doing so. While they were taking breakfast, they take the chance of asking their brother some questions about where rain comes from? What is thunder. Their brother replies them. Thus, they learnt something new about the inverse rain.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Johansen N. Machume

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU7

Publication Year

2012

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mvua Yenye Balaa”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping