fbpx
Previous
Previous Product Image

Wimbi la Mauti

Sh 3,000,000.00
Next

Nyumbani Kwao Tito

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Mtoto Mtundu

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu:
Hii ni hadithi inayowashirikisha Sima na marafiki zake, Kisha na Pendo. Sima ndiye Mtoto Mtundu na ndiye nyota wa hadithi. Mbali na utundu unaoonyeshwa na Sima, Sima anadhihirisha pia upendo wake kwa marafiki zake, wazazi na utii kwa walimu. Aidha, walimu wanafunzi na wazazi wanaonyesha mfano mzuri wa kuigwa katika kulea na kutoa elimu ya manufaa kwa taifa la kesho.
Brief Summary
The book is a story which involves Sima and her friends Kisha and Pendo. Sima is the main character. Sima shows her creativity. She shows obedience and love to the parents and teachers. Likewise, the Parents, teachers and pupils show an imitatable example on upbringing of future generation.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Angelica C. Mulokozi

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU10

ISBN

978 9987 67 17 5

Publication Year

2018

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mtoto Mtundu”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping