fbpx
Previous
Previous Product Image

Marafiki wa Ajabu

Sh 3,000,000.00
Next

Bila Hiyari Yangu

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Mkasa Ulioleta Neema

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu:

Ni hadithi inayoonyesha jinsi mkasa uliowapata Bwana Ishenda na Bi Koku ulivyoleta Neema maishani mwao. Katika hadithi hii, Ishenda alipewa zawadi ya Paka mweupe na rafiki yake Shukuru. Akamweka ndani ya tenga na kulifunga kwenye baiskeli yake. Halafu akaelekea nyumbani. Ishenda alikuwa bado hajaoa. Njiani Paka akaanza kukurukakara tengani na Mbwa aliyekuwa pembeni mwa barabara akaona vitendo hivyo vya Paka, akaanza kubweka. Ishenda akakerwa na kelele za Mbwa na kuamua kusimamisha baiskeli ili amdhibiti. Ghafla akaanguka na kumgonga binti aitwaye Koku akiwa na kapu la mayai akilipeleka gulioni. Mayai yote yakavunjika. Ishenda na Koku wakaumia. Baiskeli pia ikaharibika. Wote wawili wakasameheana, maana waligundua kuwa kosa ni la Paka na Mbwa. Baada ya kusameheana na wote kupona michubuko, walifanya uamuzi ulioleta neema.

Brief Summary
This story shows how a Misfortune that happened to Mr.Ishenda and Miss Koku later brought about Fortune in their lives.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Salvatory A. Kaijunga

Part #

P30TEPU30

ISBN

978 9987 671 71 7

Publication Year

2004

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mkasa Ulioleta Neema”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping