fbpx
Previous
Previous Product Image

Cotton in Tanzania: Breaking the Jinx

Sh 5,000.00
Next

Kanuni za Ukulima wa Kisasa

Sh 4,000,000.00
Next Product Image

Misingi ya Kilimo Bora

Sh 5,000,000.00

Ili tuweze kuleta Mapinduzi ya Kijani nchini, lazima kilimo chetu kihame kutoka Kilimo cha Mazoea ambacho kimetumika tangu mababu na mababu, karne na karne na kuwa Kilimobiashara. Hiki ni kilimo kinachotumia sayansi na teknolojia ya kilimo cha kisasa. Hakitumii tena mbegu za asili bali mbegu chotara ambazo huzaa sana. Ni kilimo kinachotumia kwa wingi mbolea za viwandani na mbolea za mboji. Ni kilimo kinachotekeleza kanuni zote za kilimo cha kisasa ikiwa ni pamoja na matumizi makubwa ya maji kwa kutegemea aina ya mimea ya mazao na majira.
Kitabu hiki, Misingi ya Kilimo Bora, kina misingi 20 ambayo ikieleweka na kutekelezwa na wakulima kikamilifu watakuwa wakiendesha kilimobiashara.
Tunashauri Wakulima, Wanafunzi, Wanavyuo, Viongozi, Maofisa Ugani na Maofisa Kilimo wakisome na wakitumie kuleta Mapinduzi ya Kijani nchini kwa kuendesha kilimobiashara.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Ili tuweze kuleta Mapinduzi ya Kijani nchini, lazima kilimo chetu kihame kutoka Kilimo cha Mazoea ambacho kimetumika tangu mababu na mababu, karne na karne na kuwa Kilimobiashara. Hiki ni kilimo kinachotumia sayansi na teknolojia ya kilimo cha kisasa.

Hakitumii tena mbegu za asili bali mbegu chotara ambazo huzaa sana. Ni kilimo kinachotumia kwa wingi mbolea za viwandani na mbolea za mboji. Ni kilimo kinachotekeleza kanuni zote za kilimo cha kisasa ikiwa ni pamoja na matumizi makubwa ya maji kwa kutegemea aina ya mimea ya mazao na majira.
Kitabu hiki, Misingi ya Kilimo Bora, kina misingi 20 ambayo ikieleweka na kutekelezwa na wakulima kikamilifu watakuwa wakiendesha kilimobiashara.

Tunashauri Wakulima, Wanafunzi, Wanavyuo, Viongozi, Maofisa Ugani na Maofisa Kilimo wakisome na wakitumie kuleta Mapinduzi ya Kijani nchini kwa kuendesha kilimobiashara.

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P17TEPU1

ISBN

978 9987 07 018 3

Publication Year

1975

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Misingi ya Kilimo Bora”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping