fbpx
Previous
Previous Product Image

Haki za Watoto na Wazazi Pamoja na Makosa ya Kujamiiana

Sh 5,000,000.00
Next

Sheria ya Mirathi: Haki za Wajane na Watoto

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

MIGOGORO YA NDOA NA USULUHISHI WAKE: Wajibu wa Bodi za Usuluhishi wa Ndoa

Sh 5,000,000.00

(1 customer review)

Lengo kuu la mwanaume na mwanamke kufunga ndoa ni kuishi pamoja kwa furaha, kushirikiana, kujiletea maendeleo, kupata watoto na kuwalea pamoja hadi hapo kifo kitakapowatenganisha.

Hata hivyo, ndoa nyingi huzongwa na kutoelewana, kwa viwango tofauti, baina yao. Kutoelewana huweza kukua hadi kuwa mgogoro. Migogoro ya ndoa ni jambo la kawaida kati ya wanandoa wengi.

Migogoro hiyo isiposuluhishwa matokeo yake ni ndoa kuvunjika, kitendo ambacho hakipendwi na jamii, na hakina faida kwa watoto wao, madhehebu ya dini, wazazi, jamaa na wategemezi wao. Athari za kuvunjika kwa ndoa ni nyingi na mbaya sana kwao, watoto wao na maendeleo yao.

Kwa vile, migogoro ya ndoa imekuwapo katika baadhi ya familia na itaendelea kuwapo, sheria imeanzisha Bodi za Usuluhishi wa Ndoa. Kazi za Bodi hizi ni mbili, yaani, kusuluhisha wanandoa na ikishindikana kutoa Hati kwa wanandoa hao ili waipeleke mahakamani kwa ajili ya kuvunja rasmi ndoa hiyo.

Kwa mujibu wa Sheria, chombo pekee chenye mamlaka ya kutamka kuwa ndoa imevunjika na kutoa Hati ya Talaka ni Mahakama. Mahakama nayo hutoa uamuzi huo baada ya kujiridhisha pasipo shaka, kuwa, ndoa hiyo imeishavunjika na haiwezi kurekebika tena.

Katika kitabu hiki, mwandishi (pichani), ambaye ni Wakili Mwandamizi, ameeleza vizuri masuala haya ya kutoelewana na migogoro baina ya wanandoa na namna ya kuisuluhisha. Aidha, kitabu kinaeleza njia za kufuata ili hatimaye mahakama itoe Hati ya Talaka.

Hiki ni kitabu muhimu na cha lazima kwa wanandoa wote na wale wanaokusudia kufunga ndoa. Kitabu hiki ni cha lazima pia, kwa Wajumbe wa Bodi za Usuluhishi wa Migogoro ya Ndoa, Mahakimu, Mawakili, Wanafunzi wa Sheria na jamii kwa ujumla.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

A.K. Chamani

ISBN

987 9987 07 093 0

Language

Kiswahili

Part #

P27TEPU3

Publication Year

2020

1 review for MIGOGORO YA NDOA NA USULUHISHI WAKE: Wajibu wa Bodi za Usuluhishi wa Ndoa

 1. Rosetta

  https://waterfallmagazine.com
  Hi! I’m at work browsing your blog from my new iphone!
  Just wanted to say I love reading through your blog
  and look forward to all your posts! Carry on the excellent work!

  Also visit my web blog: Kristeen

Add a review

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping