fbpx
Previous
Previous Product Image

Kutengeneza na Kutumia Mboji katika Kilimo

Sh 4,000,000.00
Next

Migomba: Uanzishaji na Utunzaji wa Shamba

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Mbolea za Viwandani

Sh 4,000,000.00

A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 10 chapters:
1. Mambo yanayoathiri ukuaji wa Mimea ya Mazao Shambani.
2. Mambo yanayoathiri Rutuba na Tija ya Udongo.
3. Jinsi udongo unavyoshika virutubisho na kuviachia.
4. Ukuaji wa mimea.
5. Mbolea za Viwandani.
6. Kazi muhimu za elementi katika mimea (1).
7. Kazi muhimu za elementi katika mimea (2).
8. Mambo ya kuzingatia wakati wa kuamua kiasi cha mbolea za viwandani cha kuweka shambani.
9. Njia za kuweka mbolea za viwandani shambani na upotevu wake katika udongo.
10. Matumizi ya kiuchumi ya mbolea.

Brief Summary
The book contains ten chapters, which explain various artificial fertilizers, including factors affecting plant growth, fertility, productivity, functions of micro and marco elements; precautions when applying artificial fertilizers, and their economical usage to modern agriculture.

B. Maelezo mafupi ya kitabu
Mbolea za Viwandani, kama jina linavyoonyesha,mbolea hizi hutengenezwa katika viwanda maalumu. Lakini, kitabu hiki hakizungumzii mbolea hizi tu.
Tukitaka kuleta Mapinduzi ya Kilimo nchini, ambayo yanayolenga kuleta ongezeko kubwa na la haraka la mavuno, matumizi ya Mbolea za Viwandani kwa wakulima wadogo na wakulima wakubwa hayaepukiki. Lazima tutumie mbolea hizi. Tusiziogope na tusizikwepe. Faida zake ni kubwa. Nchi yoyote duniani ambayo kilimo chake kimeendelea sana, ni matokeo ya matumizi makubwa ya Mbolea za Viwandani. Lazima tuwaige na tusizidi kuchelewa.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Pius B. Ngeze

Language

Kiswahili

Part #

P17TEPU14

ISBN

978 9987 426 33 1

Publication Year

2010

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mbolea za Viwandani”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping