fbpx
Previous
Previous Product Image

Our Heritage

Sh 5,000,000.00
Next

The Family Friend of Animals

Sh 5,000,000.00
Next Product Image

Matembezi Kwenye Mbuga za Wanyama

Sh 5,000,000.00

Tanzania ina Mbuga za Wanyama zaidi ya 16 ambazo ni Arusha, Hombe, Katavi, Kitulo, Ziwa Manyara, Mahale. Nyingine ni Mkomazi, Mikumi, Mlima Kilimanjaro, Rubondo, Ruaha, Saadani, Serengeti, Tarangire, Milima ya Udzungwa na Kisiwa cha Saanane.
Katika kitabu hiki, Mbunga ya Wanyama iliyotembelewa ni Serengeti, nchini Tanzania, ambayo ilianzishwa 1959. Eneo lake ni km. 14,763. Ni kilometa 335 kutoka Jiji la Arusha, ikipakana na Kenya upande wa Kaskazini na Ziwa Victoria upande wa Magharibi.
Mbuga hii ina aina mbalimbali za wanyama, kama vile, nyumbu, simba, twiga, chui, nguruwemwitu, pundamilia, swala, mbawala, tembo, nyati, vicheche, nungunungu na wengine. Aidha, zipo aina mbalimbali za ndege na wadudu.

Hiki ni kitabu kizuri sana kwa watoto na wanafunzi ili wapate elimu juu ya Utalii wa Ndani, mbuga zetu za wanyama, umuhimu wake kwa taifa na umuhimu wa kuwatunza na kuwalinda wanyama, ndege na wadudu waliomo.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Nkwanzi Nkuzi Mhango & Nesaa Nkwazi Mhango

Language

Kiswahili

Part #

P7TEPU2

ISBN

978 9987 07 050 3

Publication Year

2018

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Matembezi Kwenye Mbuga za Wanyama”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping