fbpx
Previous
Previous Product Image

Nani Maarufu?

Sh 3,000,000.00
Next

Mkasa Ulioleta Neema

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Marafiki wa Ajabu

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu:
Ni hadithi ya watoto wawili, Asimwe na Namara. Watoto hawa pamoja na wakazi wa nchi ya Kalimi wanaikimbia mizinga ambayo inapigwa kutoka katika nchi ya Bubi. Baada ya kukimbia kwa siku tatu mfululizo, Asimwe na Namara wanachoka sana na kuamua kuingia pangoni. Wanaishi na nyani ndani ya pango hilo. Wanazoeana na kuwa marafiki wakubwa. Hatimaye watoto hao wanafanikiwa kurudi kijijini kwao na kupokelewa kwa shangwe.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Johansen N. Machume

Language

Kiswahili

Part #

P30TEPU29

ISBN

978 9987 671 37 3

Publication Year

2012

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Marafiki wa Ajabu”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping