fbpx
Previous
Previous Product Image

Ndege Uwanjani

Sh 3,000,000.00
Next

Vijana Hodari

Sh 3,000,000.00
Next Product Image

Majigambo ya Wadudu

Sh 3,000,000.00

Maelezo mafupi ya kitabu:

Ni hadithi iliyoandikwa katika tenzi.Inaelezea sifa na tabia za wadudu. Wadudu kadhaa wamekusanyika kichakani wakieleza sifa na tabia zao, lengo lao likiwa ni kumchagua kiongozi atakayewafaa.

Baadhi ya tabia zao zina athari chanya na hasi kwa wanadamu. Wadudu hao ni Mende, Mchwa, Kipepeo, Buibui, Nyuki, Mbung’o, Konokono, Ng’e na Jongoo. Hatimaye Nyuki anachaguliwa kuwa kiongozi wao.

Brief Summary
The book consists of several poems. The poems are about the characters and qualities of about eleven insects. The latter meet and elect democratically their leader.

Add to Wishlist
Add to Wishlist

Description

Additional information

Book Author

Johansen N. Machume

Language

Kiswahili

ISBN

978 9987 671 08 3

Publication Year

2013

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Majigambo ya Wadudu”

Shopping cart

0
image/svg+xml

No products in the cart.

Continue Shopping